Mkubwa aliuliza 03/04/2020kwa Mahusiano, Matuzo Tukiangalia nyuma baada ya kuachana Diamond na Tanasha, mnaona Tanasha alikuwa mtu wa dhati kwa uhusiano wao.
Kura ToujoursKwako aliuliza 05/09/2021 Siasa ya kenya ni mkali – Mkakati ya Mt. Kenya utakuwaje mwishowe?
Kura MamaYakoAdmin aliuliza 07/06/2021kwa Kenya TB Joshua alitabiri kifo chake? Alitabiri mengi huyo muhubiri mkristo wa Nigeria.
ToujoursKwako aliuliza 10/06/2021kwa Kongo Jino pa Lumumba ni ya ukweli? Kwani lilichukuliwa mwanzoni?
Chris K Emmanuel aliuliza 14/05/2021kwa Muziki Jina la baba yake na zuchu msanii wa kizazi kipya pale WCB ni lipi?