Hali ya uhuru na haki sioni kuwa nzuri katika uongozi wa makufuli. Uongozi wa Rais Magufuli umezingatia kujenga Tanzania na kuboresha uchumi. Uongozi wake hauzingatii haki na uhuru.

Mimi hupenda muziki wa aina nyingi kutegemea na hali iliyopo kwa wakati huo. Pia ni mpenzi wa vionjo na tamaduni tofauti katika muziki na maisha kwa ujumla.

Kenya Tanzania Nishati petroli umeme Urefu Uliopangwa mpaka Uganda mpaka Rwanda Gharama kwa mita nyingi sio nyingi Ufadhili China Uturuhuki, Ureno Mwaka ilioanzishwa 2017 2019 Ubia wa Nchi Jirani Uganda Kongo, Rwanda, Burundi Niambie kama nilkosa kitu kwa meza ya juu.
Ronaldinho na Zinedine walikuwa wachezaji wakali Sana kwa kipindi cha miaka sita 2000-2006. Shabiki wote wa soka walibishana Sana kuhusu wachezaji hawa wawili. Nani kweli alikuwa mnoma? Mashujaa hawa walikuwa hodari Sana kwa kucheza soka, wote walikuwa Bora na mchezo wao ulipendeza Sana. Kwa maoni ySoma zaidi
Ronaldinho na Zinedine walikuwa wachezaji wakali Sana kwa kipindi cha miaka sita 2000-2006.
Shabiki wote wa soka walibishana Sana kuhusu wachezaji hawa wawili. Nani kweli alikuwa mnoma?
Mashujaa hawa walikuwa hodari Sana kwa kucheza soka, wote walikuwa Bora na mchezo wao ulipendeza Sana.
Kwa maoni yangu Zinedine alikuwa hodari lakini Ronaldinho alikuwa hodari zaidi.
Je, wapwani wana nafasi yao stahili kwenye urais?
MamaYako
Nakubali na Joho kwamba inabidi mpwani awe nafasi kubwa katika siasa za urais. Naona wapwani hawapangi vizuri kama kabila zingine za Kenya.

Angalia kidogoJe, unaonaje hali ya uhuru na haki za Watanzania katika kipindi cha pili cha Rais Magufuli?
wanjepeter
Hali ya uhuru na haki sioni kuwa nzuri katika uongozi wa makufuli. Uongozi wa Rais Magufuli umezingatia kujenga Tanzania na kuboresha uchumi. Uongozi wake hauzingatii haki na uhuru.
Hali ya uhuru na haki sioni kuwa nzuri katika uongozi wa makufuli. Uongozi wa Rais Magufuli umezingatia kujenga Tanzania na kuboresha uchumi. Uongozi wake hauzingatii haki na uhuru.
Angalia kidogoJe, unapenda muziki wa aina gani?
Oracle
Mimi hupenda muziki wa aina nyingi kutegemea na hali iliyopo kwa wakati huo. Pia ni mpenzi wa vionjo na tamaduni tofauti katika muziki na maisha kwa ujumla.
Mimi hupenda muziki wa aina nyingi kutegemea na hali iliyopo kwa wakati huo. Pia ni mpenzi wa vionjo na tamaduni tofauti katika muziki na maisha kwa ujumla.
Angalia kidogoTofauti kati SGR ya Kenya na ya Tanzania ni nini?
Mkubwa
Kenya Tanzania Nishati petroli umeme Urefu Uliopangwa mpaka Uganda mpaka Rwanda Gharama kwa mita nyingi sio nyingi Ufadhili China Uturuhuki, Ureno Mwaka ilioanzishwa 2017 2019 Ubia wa Nchi Jirani Uganda Kongo, Rwanda, Burundi Niambie kama nilkosa kitu kwa meza ya juu.
Niambie kama nilkosa kitu kwa meza ya juu.
Angalia kidogoNani ni mkali zaidi ya mwenzake?
ERIC
Ronaldinho na Zinedine walikuwa wachezaji wakali Sana kwa kipindi cha miaka sita 2000-2006. Shabiki wote wa soka walibishana Sana kuhusu wachezaji hawa wawili. Nani kweli alikuwa mnoma? Mashujaa hawa walikuwa hodari Sana kwa kucheza soka, wote walikuwa Bora na mchezo wao ulipendeza Sana. Kwa maoni ySoma zaidi
Ronaldinho na Zinedine walikuwa wachezaji wakali Sana kwa kipindi cha miaka sita 2000-2006.
Shabiki wote wa soka walibishana Sana kuhusu wachezaji hawa wawili. Nani kweli alikuwa mnoma?
Mashujaa hawa walikuwa hodari Sana kwa kucheza soka, wote walikuwa Bora na mchezo wao ulipendeza Sana.
Kwa maoni yangu Zinedine alikuwa hodari lakini Ronaldinho alikuwa hodari zaidi.
Asante Sana.
Angalia kidogo