Hali ya uhuru na haki sioni kuwa nzuri katika uongozi wa makufuli. Uongozi wa Rais Magufuli umezingatia kujenga Tanzania na kuboresha uchumi. Uongozi wake hauzingatii haki na uhuru.

Mimi hupenda muziki wa aina nyingi kutegemea na hali iliyopo kwa wakati huo. Pia ni mpenzi wa vionjo na tamaduni tofauti katika muziki na maisha kwa ujumla.

Kenya Tanzania Nishati petroli umeme Urefu Uliopangwa mpaka Uganda mpaka Rwanda Gharama kwa mita nyingi sio nyingi Ufadhili China Uturuhuki, Ureno Mwaka ilioanzishwa 2017 2019 Ubia wa Nchi Jirani Uganda Kongo, Rwanda, Burundi Niambie kama nilkosa kitu kwa meza ya juu.
Ronaldinho na Zinedine walikuwa wachezaji wakali Sana kwa kipindi cha miaka sita 2000-2006. Shabiki wote wa soka walibishana Sana kuhusu wachezaji hawa wawili. Nani kweli alikuwa mnoma? Mashujaa hawa walikuwa hodari Sana kwa kucheza soka, wote walikuwa Bora na mchezo wao ulipendeza Sana. Kwa maoni ySoma zaidi
Ronaldinho na Zinedine walikuwa wachezaji wakali Sana kwa kipindi cha miaka sita 2000-2006.
Shabiki wote wa soka walibishana Sana kuhusu wachezaji hawa wawili. Nani kweli alikuwa mnoma?
Mashujaa hawa walikuwa hodari Sana kwa kucheza soka, wote walikuwa Bora na mchezo wao ulipendeza Sana.
Kwa maoni yangu Zinedine alikuwa hodari lakini Ronaldinho alikuwa hodari zaidi.
Ndoa zimekuwa na changamoto mingi sana. Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka ila wenye hawajaoa wanatamani kugunga ndoa. Mojawapo wa changamoto hizi ni wapezi kutoaminiana na pia kusaliti ndo kwa kwenda nje ya ndoa. Tendo hili linaweza Sababishwa na sababu zifuatazo; 1. Mpezi kutotosheleza mpeziye kiSoma zaidi
Ndoa zimekuwa na changamoto mingi sana. Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka ila wenye hawajaoa wanatamani kugunga ndoa.
Mojawapo wa changamoto hizi ni wapezi kutoaminiana na pia kusaliti ndo kwa kwenda nje ya ndoa.
Tendo hili linaweza Sababishwa na sababu zifuatazo;
Ni kweli kuwa kupata ajira siku hizi limekuwa ajira kwa watu wengi wanaotoka kwenye vyuo vikuu. Idadi ya ajira ni kidogo kuliko idadi ya wanaotafuta ajira na hili limesababisha watu wengi kukosa au pia kufanya kazi tofauti na masomo waliosoma kwenye vyuo vikuu. Teknolojia ya kisasa pia imesababishaSoma zaidi
Ni kweli kuwa kupata ajira siku hizi limekuwa ajira kwa watu wengi wanaotoka kwenye vyuo vikuu. Idadi ya ajira ni kidogo kuliko idadi ya wanaotafuta ajira na hili limesababisha watu wengi kukosa au pia kufanya kazi tofauti na masomo waliosoma kwenye vyuo vikuu.
Teknolojia ya kisasa pia imesababisha ukosefu wa kazi kwani kazi mingi zilizokuwa zikitekelezwa na watu binafsi zinafanywa kupitia mashine.
Wasomi wengi wameweza kuanzisha bihashara na kujiajiri ila kunao wamebaki kuzubaa hawana bee wala tee.
ILI KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA YAFUATAYO YANAFAA;
Wasomi waelimishwe jinsi wanavyoweza kutumia masomo yao kutekeleza shughuli ambazo zitawaletea hela.
Ni muhimu bihashara kufanywa somo la lazima kwa wasomi wote kwenye vyuo vikuu ili waweze elewa jinsi wanaweza fanya bihashara.
Bihashara zinazo azishiwa na waliokosa kazi hazifai kutozwa kodi.
Serikali inapaswa kuwapa wasio na kazi pesa za kuazisha bihashara.
Umri wa kustaafu unapaswa kupunguzwa ili kuwawezesha wanaotoka vyuoni kupata kazi.
Serikali inapaswa kutoa amri kampuni za nchi za kigeni zilizo nchini kuajiri wanafunzi wanaotoka kwenye vyuo vikuu.
Sekta ya mikutano na mikusanyiko na mahoteli yatakuwa matatani mwisho wa mwaka. Hiyo ndio prediction yangu. Lakini naona Afrika itarudi haraka zaidi baada ya athari zimekwisha duniani.

Sababu ni rahisi mwanagu. Maoni ndio hayo kutokana na ukweli ya kwamba wazungu wengi karibu wote hawajui kiswahili isipokuwa wachache kama wewe ikiwa wewe ni mzungu kiukweli.

Hapana, mtu hawezi kupata maambuzi ya corona kupitia ngono. Ila anaweza kupata virusi endapo tu watagusana sehemu zenye vidudu vya corona kama mikononi, mdomoni n.k

Je, wapwani wana nafasi yao stahili kwenye urais?
Nakubali na Joho kwamba inabidi mpwani awe nafasi kubwa katika siasa za urais. Naona wapwani hawapangi vizuri kama kabila zingine za Kenya.

Angalia kidogoJe, unaonaje hali ya uhuru na haki za Watanzania katika kipindi cha pili cha Rais Magufuli?
Hali ya uhuru na haki sioni kuwa nzuri katika uongozi wa makufuli. Uongozi wa Rais Magufuli umezingatia kujenga Tanzania na kuboresha uchumi. Uongozi wake hauzingatii haki na uhuru.
Hali ya uhuru na haki sioni kuwa nzuri katika uongozi wa makufuli. Uongozi wa Rais Magufuli umezingatia kujenga Tanzania na kuboresha uchumi. Uongozi wake hauzingatii haki na uhuru.
Angalia kidogoJe, unapenda muziki wa aina gani?
Mimi hupenda muziki wa aina nyingi kutegemea na hali iliyopo kwa wakati huo. Pia ni mpenzi wa vionjo na tamaduni tofauti katika muziki na maisha kwa ujumla.
Mimi hupenda muziki wa aina nyingi kutegemea na hali iliyopo kwa wakati huo. Pia ni mpenzi wa vionjo na tamaduni tofauti katika muziki na maisha kwa ujumla.
Angalia kidogoTofauti kati SGR ya Kenya na ya Tanzania ni nini?
Kenya Tanzania Nishati petroli umeme Urefu Uliopangwa mpaka Uganda mpaka Rwanda Gharama kwa mita nyingi sio nyingi Ufadhili China Uturuhuki, Ureno Mwaka ilioanzishwa 2017 2019 Ubia wa Nchi Jirani Uganda Kongo, Rwanda, Burundi Niambie kama nilkosa kitu kwa meza ya juu.
Niambie kama nilkosa kitu kwa meza ya juu.
Angalia kidogoNani ni mkali zaidi ya mwenzake?
Ronaldinho na Zinedine walikuwa wachezaji wakali Sana kwa kipindi cha miaka sita 2000-2006. Shabiki wote wa soka walibishana Sana kuhusu wachezaji hawa wawili. Nani kweli alikuwa mnoma? Mashujaa hawa walikuwa hodari Sana kwa kucheza soka, wote walikuwa Bora na mchezo wao ulipendeza Sana. Kwa maoni ySoma zaidi
Ronaldinho na Zinedine walikuwa wachezaji wakali Sana kwa kipindi cha miaka sita 2000-2006.
Shabiki wote wa soka walibishana Sana kuhusu wachezaji hawa wawili. Nani kweli alikuwa mnoma?
Mashujaa hawa walikuwa hodari Sana kwa kucheza soka, wote walikuwa Bora na mchezo wao ulipendeza Sana.
Kwa maoni yangu Zinedine alikuwa hodari lakini Ronaldinho alikuwa hodari zaidi.
Asante Sana.
Angalia kidogoMambo gani yanayo weza kusababisha mtu awe na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa yake?
Ndoa zimekuwa na changamoto mingi sana. Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka ila wenye hawajaoa wanatamani kugunga ndoa. Mojawapo wa changamoto hizi ni wapezi kutoaminiana na pia kusaliti ndo kwa kwenda nje ya ndoa. Tendo hili linaweza Sababishwa na sababu zifuatazo; 1. Mpezi kutotosheleza mpeziye kiSoma zaidi
Ndoa zimekuwa na changamoto mingi sana. Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka ila wenye hawajaoa wanatamani kugunga ndoa.
Mojawapo wa changamoto hizi ni wapezi kutoaminiana na pia kusaliti ndo kwa kwenda nje ya ndoa.
Tendo hili linaweza Sababishwa na sababu zifuatazo;
1. Mpezi kutotosheleza mpeziye kingono- kama mpezi amtoshelezi mweziye kingono, mweziye anaweza tafuta atakaye mtosheleza.
2. Wapezi kutoheshimiana- Iwapo mmeoana na hamheshimiani inawezekana mmoja wenyu atoke nje ya ndoa atakapoheshimiwa.
3. Tabia mpezio kuanya- iwapo mpezio ni mhanyaji unaweza amua kuanya pia ili kulipisha.
4. Hali ya umasikini- kama mmekubwa na umasikini unaweza shirikiana na mtu atakaye kupea pesa.
5. Ulevi- walevi chakari ni nadra kupata wakati wa mapezi na pia unaweza jipata umeshiriki mapenzi nje ya ndoa kutokana na ulevi wako.
Nini kifanyike kupunguza tatizo la Ajira?
Ni kweli kuwa kupata ajira siku hizi limekuwa ajira kwa watu wengi wanaotoka kwenye vyuo vikuu. Idadi ya ajira ni kidogo kuliko idadi ya wanaotafuta ajira na hili limesababisha watu wengi kukosa au pia kufanya kazi tofauti na masomo waliosoma kwenye vyuo vikuu. Teknolojia ya kisasa pia imesababishaSoma zaidi
Ni kweli kuwa kupata ajira siku hizi limekuwa ajira kwa watu wengi wanaotoka kwenye vyuo vikuu. Idadi ya ajira ni kidogo kuliko idadi ya wanaotafuta ajira na hili limesababisha watu wengi kukosa au pia kufanya kazi tofauti na masomo waliosoma kwenye vyuo vikuu.
Teknolojia ya kisasa pia imesababisha ukosefu wa kazi kwani kazi mingi zilizokuwa zikitekelezwa na watu binafsi zinafanywa kupitia mashine.
Wasomi wengi wameweza kuanzisha bihashara na kujiajiri ila kunao wamebaki kuzubaa hawana bee wala tee.
ILI KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA YAFUATAYO YANAFAA;
Wawekezaji wanatulia nyakati hizi. Najiuliza athari zitakuwaje hasa Afrika Mashariki
Sekta ya mikutano na mikusanyiko na mahoteli yatakuwa matatani mwisho wa mwaka. Hiyo ndio prediction yangu. Lakini naona Afrika itarudi haraka zaidi baada ya athari zimekwisha duniani.
Sekta ya mikutano na mikusanyiko na mahoteli yatakuwa matatani mwisho wa mwaka. Hiyo ndio prediction yangu. Lakini naona Afrika itarudi haraka zaidi baada ya athari zimekwisha duniani.
Angalia kidogoMbona watu wengi wanafikiri wazungu hawajui kiswahili?
Sababu ni rahisi mwanagu. Maoni ndio hayo kutokana na ukweli ya kwamba wazungu wengi karibu wote hawajui kiswahili isipokuwa wachache kama wewe ikiwa wewe ni mzungu kiukweli.
Sababu ni rahisi mwanagu. Maoni ndio hayo kutokana na ukweli ya kwamba wazungu wengi karibu wote hawajui kiswahili isipokuwa wachache kama wewe ikiwa wewe ni mzungu kiukweli.
Angalia kidogoJe, mtu anaweza kupata corona kupitia ngono?

Angalia kidogo