Ninadhani kwamba mbogamboga na matunda huongeza kinga mwilini. Virutubisho vingine pia huchangia kwa kiwango fulani katika kuongeza kinga ya mwili.

See less
MamaYako
Nakubali na Joho kwamba inabidi mpwani awe nafasi kubwa katika siasa za urais. Naona wapwani hawapangi vizuri kama kabila zingine za Kenya.